iqna

IQNA

Nuhu Sharubutu
TEHRAN (IQNA)- Kufuatia tahadhari kutoka kwa serikali ya Ghana kuhusu uwezekano wa kutokea mashambulizi ya kigaidi, ulinzi umeimarishwa misikitini kwa amri ya kiongozi wa Kiislamu wa nchi hiyo, Mallam Othman Nuhu Sharubutu .
Habari ID: 3475300    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/05/26